Kisukuku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ar:مستحاثة
d ainisha {{mbegu}} using AWB
Mstari 2:
[[Picha:Trilobite2.jpg|thumb|250px|[[Trilobiti]] walikuwa viumbe vya miaka milioni 444 iliyopita.]]
[[Picha:Petrified forest log 2 md.jpg|thumb|right|250px| Mti uliokuwa jiwe]]
[[Picha:Archeopterix-img_0293img 0293.jpg|thumb|250px|[[Archeopteryx]] ni ndege wa kwanza anayejulikana kutokana na visukuku akifanana bado na [[reptilia]] lakini anaonyesha [[manyoa]] tayari]]
 
[['''Kisukuku]]''' ni mabaki ya kiumbehai ama mmea au mnyama kutoka zamani za miaka 10,000 au zaidi. Visukuku vingi vina umri wa miaka mamilioni.
 
Mabaki yanapatikana kwa umbo tofautitofauti.
Mstari 26:
Kama asili ya makaa ni hasa misitu ya kale na miti yao mafuta ya petroli imetokana na algae na mimea mingine ya baharini. Baada ya kufa mabaki yao yalizama chini hadi mguu wa bahari kabisa. Kutokana na uhaba wa oksijeni hapo chini maganda manene ya matope yalitokea. Kama maganda haya yalifunkiwa polepole na udongo na minerali harakati ya mabadiliko kutokana na shindikizo na hoto ilianza kutokea na kubadilisha matope ya mimea kuwa mafuta ya petrol iliyoweza kubadilika zaidi kuwa ganda la gesi.
 
{{stubmbegu-sayansi}}
 
[[Jamii:Jiolojia]]
Mstari 33:
{{Link FA|ca}}
{{Link FA|es}}
 
[[ar:مستحاثة]]
[[az:Qalıq]]