Maji matamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ar:ماء عذب
d ainisha {{mbegu}} using AWB
Mstari 1:
'''Maji matamu''' ni maji yasiyo na [[chumvi]] nyingi ndani yake.
 
Kwa kawaida maji ya [[mvua]], ya [[mto|mtoni]]ni au [[ziwa|ziwani]]ni huitwa "maji matamu" maana yake ya kwamba kimsingi inafaa kwa kunywa au kumwagilia [[mmea|mimea]] hata kama mara nyingi inaweza kupatikana na matope au machafuko ndani yake. Kinyume chake ni [[maji ya chumvi]] jinsi inavyopatikana baharini au katika maziwa kadhaa.
 
Kitaalamu maji huitwa "matamu" kama kiwango cha chumvi ndani yake ni chini ya [[asilimia]] 1 au [[gramu]] moja ya chumvi katika lita ya maji. Kama kiwango cha chumvi kinazidi haifai tena kwa matumizi ya kibinadamu pia haifai kwa mimea mengi. Kama maji matamu yana kiasi kikubwa cha bakteria au machafuko ndani yake haifai kwa matumizi ya kibinadamu moja kwa moja lakini inaeza kusafishwa kwa njia ya [[filta]].
 
Sehemu kubwa ya maji matamu yanayopatikana [[dunia|duniani]]ni ni [[theluji]] na [[barafu]] ambayo ni hasa [[mvua]] iliyowahi kuganda katika hali ya hewa baridi.
 
==Tazama pia==
Mstari 11:
*[[Maji ya chumvi]]
*[[Barafu]]
{{stubmbegu-jio}}
{{mbegu-kemia}}
 
[[CategoryJamii:Maji]]
 
[[ar:ماء عذب]]