Motokaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: pnb:کار
d ainisha {{mbegu}} using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Ford.mondeo.mk3-black.front-by.ranger.jpg|thumb|'''Ford Mondeo''' ni motokaa ndogo ya kubeba abiria wachache kwa mfano familia ndogo]]
[[Picha:WA SES Toyota Landcruiser.jpg|thumb||Magari kama Toyota Landcruiser hujengwa juu ya fremu ya lori dogo kwa kusudi ka kubeba watu penye njia mbaya ]]
'''Motokaa''' (kutoka [[Kiingereza]] "motor car"<ref>maneno yale yana asili katika lugha ya Kilatini; "car" kutoka Kilat. ''carrus'' = gari na "motor" kutoka Kilat. ''movere'' = sogeza, hamisha yaani "mhamishaji, msukumaji" </ref>, mara nyingi huitwa tu '''gari''') ni chombo cha [[usafiri]] kinachotembea kwenye nchi kavu kikitumia nguvu ya injini au mota yake.
 
Kuna aina nyingi za motokaa; magari madogo hubeba abiria tu na gari dogo la kawaida hubeba dereva pamoja na abiria hadi wanne. Magari makubwa kidogo hubeba hadi watu 8.
 
Mengine ya kubeba abiria ni mabasi ambayo ni pia aina ya motokaa lakini mara nyingi hutajwa kama kundi la pekee, sawa na malori ambayo ni motokaa kubwa za kubeba mizigo. Kuna kila aina ya mchanganyiko kati ya aina hizi.
 
 
[[Picha:Chassis with suspension and exhaust system.jpg|thumb||Fremu ya motokaa pamoja na magurudumu, bila injini wala bodi]].
Line 14 ⟶ 13:
Dereva hutumia mitambo ya kutawala motokaa ambayo ni hasa:
* usukani wa kuongoza mwendo na mwelekeo wa gari
* kichapuzi cha kutawala mbio au kasi yake
* breki inayosimamisha chombo
* mara nyingi pia mkono wa kubadilisha gia
Line 71 ⟶ 70:
* hasa makampuni ya Japani yameshafaulu kutoa na kuuza magari chotara yanaounganisha injini ya umeme na injini ya petroli. Gari linaanza safari kwa nguvu ya beteri; beteri ikikwisha injini ya mafuta inawaka na kujaza beteri.
 
{{mbegu-fizikia}}
 
{{stubmbegu-uchumi}}
 
 
 
<references/>