Nash Aguas : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Viungo vya Nje: Jamii:Waigizaji filamu ... using AWB
d usafishaji mdogomdogo, replaced: Watu Walio Hai → Watu walio hai using AWB
Mstari 18:
Nash alianza kuonekana kwa mara ya kwanza kwenye televisheni, ni baada ya kushiriki katika kinyang'anyiro cha kumtafuta mkali wa [[MTB]] kupitia [[:en:F4|Batang F4]].<ref name="Bulilit">{{cite web | url=http://www.goinbulilit.net/bulilitspotlight-nash.html | title=Nash Aguas | accessdate=2008-06-29 | work=Bulilit Spotlight | publisher=Goin' Bulilit Online}}</ref> Aliingia rasmi katika shughuli za uigizaji ni baada ya kujiunga katika mashindano ya kipinid cha TV cha kutafuta watoto wenye vipaji vya uigizaji cha [[ABS-CBN]] maarufu kama [[Star Circle Quest|Star Circle Kid Quest]], ambamo alijiigiza kama ''[[Mr. Suave]] Mdogo''.<ref name="Bulilit">{{cite web | url=http://www.goinbulilit.net/bulilitspotlight-nash.html | title=Nash Aguas | accessdate=2008-06-29 | work=Bulilit Spotlight | publisher=Goin' Bulilit Online}}]</ref>
 
Alionyesha uwezo na uchangamfu mkubwa na kupelekea kupata kura za ''Bibbo Kid Of The Week'' mara kedekede. Kitendo cha kuwa na uwezo, yaani (kipaji, maarifa, mwonekano, na ucheshi wake), kumemfanya ashinde taji la '''''Grand Kid Questor''''' na pia kuchukua zawadi maalum kibao katika maonyesho ya vipindi.<ref name="Bulilit">{{cite web | url=http://www.goinbulilit.net/bulilitspotlight-nash.html | title=Nash Aguas | accessdate=2008-06-29 | work=Bulilit Spotlight | publisher=Goin' Bulilit Online}}</ref>.
 
 
==Filamu==
Line 138 ⟶ 137:
 
{{DEFAULTSORT:Aguas, Nash}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1998]]
[[Jamii:Waigizaji filamu wa Ufilipino]]
[[Jamii:Watu Waliowalio Haihai]]
 
 
[[en:Nash Aguas]]