Wikipedia ya Kirusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: az:Rusca Vikipediya
d ainisha {{mbegu}} using AWB
Mstari 13:
| mmiliki = [[Wikimedia Foundation]]
}}
'''Wikipedia ya Kirusi''' ([[Kirusi]]: ''Русская Википедия'') ni toleo la [[kamusi elezo]] ya [[Wikipedia]] kwa lugha ya [[Kirusi]]. Mnamo tar. [[16 Agosti]], [[2006]], Wikipedia ya Kirusi imefikisha makala 100,000. Mnamo tar. [[29 Novemba]], [[2006]], ilizawadiwa [[:en:Runet Prize|"Tuzo ya Runet"]] (Премия Рунета) katika kundi la [[sayansi]] na [[elimu]]. <ref>[http://ru.wikipedia.org/wiki/%D0%92%D0%B8%D0%BA%D0%B8%D0%BF%D0%B5%D0%B4%D0%B8%D1%8F:%D0%9F%D1%80%D0%B5%D1%81%D1%81-%D1%80%D0%B5%D0%BB%D0%B8%D0%B7/%D0%9E_%D0%B2%D1%80%D1%83%D1%87%D0%B5%D0%BD%D0%B8%D0%B8_%C2%AB%D0%9F%D1%80%D0%B5%D0%BC%D0%B8%D0%B8_%D0%A0%D1%83%D0%BD%D0%B5%D1%82%D0%B0%C2%BB Russian Wikipedia's press release on Runet Prize (November 2006)]</ref> Kunako tar. [[17 Machi]], [[2008]], imefikisha makala 250,000 na mnamo tar. [[19 Mei]], [[2008]], imekuwa Wikipedia ya 10 kwa ukubwa.
 
Mnamo tar. [[25 Februari]], [[2010]], Wikipedia ya Kirusi [[:ru:Википедия:Пресс-релиз/500K|imepita idadi ya makala '''500,000''']].
Mstari 26:
 
{{Wikipedias}}
{{stubmbegu-elimu}}
 
[[Jamii:Wikipedia kwa lugha tofauti]]