Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d ainisha {{mbegu}} using AWB
Mstari 4:
 
Baraza la usalama lilikuwa na mkutano wake wa kwanza mnamo tarehe 17 mwezi Januari mwaka wa 1946 katika jumba la Church House mjini [[London]]. Tangu mkutano wake wa kwanza, baraza hilo ambalo halifungi mikutano yake, limesafiri kwa upana, likifanya mikutano katika miji mingi, kama vile [[Paris]] and Addis Ababa, na pia katika makao yake makuu katika jumba la Umoja wa Mataifa mjini New York.
 
 
Kuna wanachama 15 wa Baraza la Usalama. Kati ya hao watano ni wanachama wa kuduma na wana haki ya kura maalum ya kupitisha miswada: ([[Uchina]], [[Ufaransa]], [[Urusi]], [[Uingereza]], [[Marekani]]) na wanachama kumi wa kuchaguliwa ambao si wa kudumu wenye vipindi vya miaka miwili. Mpangilio msingi umeelezewa katika Sura ya V ya Mkataba wa umoja wa Mataifa. Wanachama wa Baraza la Usalama lazima wawe daima katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York ili Baraza la Usalama liweze kukutana wakati wowote. Jambo hili la Mktaba wa Umoja wa Mataifa lilifanywa kimakusudi kwa sababu [[Shirikisho la Mataifa]] lilishindwa mara nyingi kutatua shida za kidharura.
 
{{mbegu-siasa}}
 
[[Jamii:Sheria]]