Mtaguso wa Konstanz : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: simple:Council of Constance |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Mtaguso wa Konstanz''' ([[1414]]-[[1418]]) unahesabiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtaguso mkuu]] wa 16.
[[Mtaguso]] huu uliitishwa na [[antipapa]] [[Yohane XXIII]] kwa ombi la [[kaisari]]
Ulifanyika [[Konstanz]] (Ujerumani).
Mstari 7:
Lengo kuu lilikuwa kumaliza [[Farakano la Magharibi]] lililofikia hatua ya kuona ma[[askofu]] watatu kujidai [[Papa]] kwa wakati mmoja.
Malengo mengine yalikuwa kung’oa [[uzushi]] na kurekebisha [[Kanisa]] “katika kichwa na viungo vyake”.
Hatimaye [[Papa Gregori XII]] alikubali kujiuzulu, wapinzani wake waliondolewa, na [[Papa Martin V]] alichaguliwa. ▼
▲Hatimaye [[Papa Gregori XII]] alikubali kujiuzulu, wapinzani wake wawili waliondolewa, na [[Papa Martin V]]
Kati ya maamuzi mengine kuna hukumu dhidi ya [[Jan Hus]] kama [[mzushi]]. ▼
Ulikuwa mtaguso muhimu kwa wingi wa waliohudhuria (ma[[kardinali]] 29, ma[[askofu]] 186, ma[[abati]] zaidi ya 100 na wataalamu 300 hivi), muda (vikao 55) na mafanikio, ingawa majaribio yake ya mapinduzi yalishindikana, hasa ulipodai kuwa na mamlaka ya juu kuliko [[Papa]].
▲Kati ya maamuzi mengine kuna hukumu dhidi ya [[John Wyclif]] na [[Jan Hus]] kama [[
==Viungo vya nje==
*[http://www.newadvent.org/cathen/04288a.htm
*[http://www.piar.hu/councils/ecum16.htm Tanner, Norman P., editor, ''Decrees of the Ecumenical Councils'']: ''Council of Constance 1414-18'', excerpts of the sessions (in English)
*[http://info.wlu.ca/~wwwhist/faculty/cnighman/cc/index.html
[[Category:Mitaguso]]
[[Jamii:Konstanz]]
[[als:Konzil von Konstanz]]
|