Tofauti kati ya marekesbisho "David Hubel"

No change in size ,  miaka 11 iliyopita
d
kutoa herufi kubwa ----> ndogo, replaced: Watu Walio Hai → Watu walio hai using AWB
d (roboti Nyongeza: no:David H. Hubel)
d (kutoa herufi kubwa ----> ndogo, replaced: Watu Walio Hai → Watu walio hai using AWB)
'''David Hunter Hubel''' (amezaliwa [[27 Februari]], [[1926]]) alikuwa daktari kutoka nchi ya [[Kanada]]. Baadaye alihamia na kufanya kazi nchini [[Marekani]]. Hasa alichunguza jinsi habari za macho zinazofikishwa ubongoni. Mwaka wa [[1981]], pamoja na [[Roger Sperry]] na [[Torsten Wiesel]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Tiba]]'''.
 
{{DEFAULTSORT:Hubel, David}}
{{mbegu-mwanasayansi}}
 
{{DEFAULTSORT:Hubel, David}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1926]]
[[Jamii:Watu Waliowalio Haihai]]
[[Jamii:Wanasayansi wa Kanada]]
[[Jamii:Wanasayansi wa Marekani]]