Kura ya maoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kura ya maoni''' zinatumika katika [[demokrasia]] ili kuchagua [[kiongozi|viongozi]] wa [[nchi]] au kuamua kama sheria fulani itumike. Kawaida kura ya maoni hupigwa na wale wote wenye umri halali wa kupiga kura ili kukubali au kukataa pendekezo, [[sera]], [[sheria]], [[mabadiliko ya katiba]], [[katiba]] mpya, kukataa au kumuunga mkono kiongozi fulani. Kura ya maoni huchukuliwa kuwa ni aina mojawapo ya [[demokrasia ya moja kwa moja]].