33Miles : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: pt:33Miles
d Bot: repairing outdated link allmusic.com
Mstari 16:
== Historia ==
 
'''33Miles''' ni bendi ya nyimbo za kisasa za Kikristo ambao una mvuto kutoka nyimbo za nchi hasa kutoka sehemu za [[Franklin]], [[Tennessee]]. Walianza kucheza muziki yao huko Nashville wakiwa na mkataba na [[INO Records]],studio ambayo ilitoa albamu ya kwanza ya bendi hilo,''33 miles'',katika mwaka wa 2007. Albamu ilikuwa #8 katika chati ya ''Billboard Top Heatseekers'' na #16 katika chati ya ''Top Christian Albums''. Katika wimbo wao wa 2007,''There is a God'' walikuwa wakitaka kuwafahamisha wanasayansi waliokuwa wakisafiri kuenda katika utupu unaozunguka ulimwengu.Iliimbwa mnamo tarehe Septemba 3 2009 wanasayansi wale walipokuwa wakitaka kupanda ndege yao.<ref name=amg1>[http://www.allmusic.com/cgartist/amg.dll?p=amg&sql=11:0nftxqudldte~T533miles-p888957 Billboard], Allmusic.com</ref>
==Wanachama==
*Jason Barton - [[mwimbaji kiongozi]] (alitoka [[True Vibe]])