Usher Raymond : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: cs:Usher
d Bot: repairing outdated link allmusic.com
Mstari 18:
== Wasifu ==
=== Maisha ya awali ===
Usher alizaliwa mnamo tar. [[14 Oktoba]], katika mwaka wa [[1978]]<ref>{{cite web|url=http://www.eonline.com/celebrities/profile/index.jsp?uuid=04101470-8d53-4d11-a654-f62ac8d1eb90|title=Usher Raymond - Profile|publisher=[[E!]]|accessdate=2008-04-26}}</ref> mjini [[Dallas]], [[Texas]], [[Marekani]].<ref name="AllmusicBio">{{cite web|url=http://www.allmusic.com/cgartist/amg.dll?p=amg&sql=11:3xfoxqe5ldfe~T1usher-p44890|title=Usher: Biography|last=Lane|first=Lynda|publisher=[[Allmusic]]|accessdate=2008-11-18}}</ref> Alizaliwa akiwa kama mtoto wa Bi. Jonetta Patton na Bw. Usher Terry Raymond III;<ref>{{cite web|url=http://www.eonline.com/celebrities/profile/index.jsp?uuid=04101470-8d53-4d11-a654-f62ac8d1eb90|title=Usher: Profile|publisher=[[E!]]|accessdate=2008-11-18}}</ref> ambao wote ni [[Wamarekani Weusi]].
 
Alitumia maisha yake yote ya utoto akiwa mjini Chattanooga, Tennessee. Akiwa bwana mdogo, alijiunga na kanisa la kwaya la mtaani alipokuwa akiishi (Chattanooga) na ndipo hapo mama yake alipogundua uwezo wake wa kuimba.<ref name="ReidKing">{{cite news|url=http://www.mtv.com/bands/u/usher/news_feature_052404/index.jhtml|title=Usher: King Me|last=Reid|first=Shaheem|publisher=MTV|accessdate=2008-11-18}}</ref> Mapema akiwa shule, Usher alijiingiza kwenye mashindano ya kumtafuta mwenye kipaji na kwa bahati nzuri alipata kushinda katika mashindano hayo.