Timbaland : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: repairing outdated link allmusic.com
Mstari 17:
}}
 
'''Timothy Zachery Mosley''' (amezaliwa tar. [[10 Machi]], [[1971]])<ref name="Allmusic">{{cite web|last=Birchmeier|first=Jason|title=Timbaland - Biography|work=[[Allmusic]]|url=http://www.allmusic.com/cgartist/amg.dll?p=amg&sql=11:j9fwxquhldje~T1timbaland-p218225|accessdate=2008-11-23}}</ref> ni mshindi wa [[Tuzo za Grammy]]-akiwa kama [[mtayarishaji wa rekodi]], [[mwimbaji]] na [[rapa]] bora kutoka nchini [[Marekani]]. Timbaland ametayarisha maalbamu na masingle kibao ya wasanii tangu katikati mwa miaka ya 1990 mpaka leo hii.
 
Kazi ya kwanza ya Timbaland ambayo imempa sifa kubwa ni ile ya mwaka wa 1996 kwenye ''[[Ginuwine...the Bachelor]]'' ya mwimbaji wa [[R&B]] [[Ginuwine]]. Baada ya kupata mafanikio makubwa kwa kazi ya albamu ya [[Aaliyah]] ya 1996, ''[[One in a Million]]'' na albamu ya [[Missy Elliott]] ya 1997, ''[[Supa Dupa Fly]]'', Timbaland akawa mtayarishaji maarufu sana kwa upande wasanii wa R&B na hip-hop. Awali alitoa albamu kadhaa kwa ajili ya rapa mwenzi wake [[Magoo]].