Dr. Dre : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya Nje: kuondoa herufi kubwa na kuweka ndogo, replaced: Watu Walio Hai → Watu walio hai using AWB
d Bot: repairing outdated link allmusic.com
Mstari 20:
Akiwa kama mtayarishaji, amejipatia sifa sana kwa kuukuza muziki wa [[West Coast hip hop|West Coast]] [[G-funk]], staili ya muziki wa rap unaotengenezwa na [[synthesizer]]-yenye ya taratibu, na mdundo wa nguvu.
 
Dr.&nbsp;Dre alianza shughuli za muiki akiwa kama mmoja kati ya wanamchama wa kundi la muziki la [[World Class Wreckin' Cru]] na kisha baadaye akaanzisha kundi lenye athira kubwa ya [[gangsta rap]] la [[N.W.A]], ambayo ilivuma sana kwa mashairi yake mazito yenye kutaja maisha ya kiharifu na mtaani kwa ujumla.<ref name="Allmusic">{{cite web|last=Erlewine|first=Stephen Thomas|authorlink=Stephen Thomas Erlewine|title=Dr. Dre - Biography|url=http://www.allmusic.com/cgartist/amg.dll?p=amg&sql=11:wpfqxqt5ldhe~T1dr-dre-p26119|publisher=[[Allmusic]]|year=2000|accessdate=2007-09-22}}</ref>
Mnamo mwaka wa 1992, alitoa albamu kama msanii wa kujitegemea. Na albamu ilikwenda kwa jina la ''[[The Chronic]]'', ilitolewa ikiwa chini ya Death Row Records, na kumpelekea kuwa mmoja katia ya wasanii waliouza rekodi bora za muziki wa Marekani kwa mwaka wa 1993<ref name="pop life">{{cite news|last=Holden|first=Stephen|title=The Pop Life|url=http://query.nytimes.com/gst/fullpage.html?res=9905E3D61231F931A25752C0A962958260&scp=22&sq=%22Dr.+Dre%22&st=nyt|work=[[The New York Times]]|date=1994-01-14|accessdate=2008-03-03}}</ref> na kushinda [[Tuzo ya Grammy]] kwa ajili ya single ya "[[Let Me Ride]]".