John Samwel Malecela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''{{PAGENAME}}''' (amezaliwa tar. 20 Aprili 1934) ni mbunge wa jimbo la Mtera katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.<ref>[http://www.afdevi...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:08, 13 Novemba 2010

John Samwel Malecela (amezaliwa tar. 20 Aprili 1934) ni mbunge wa jimbo la Mtera katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM. Pia alishawahi kuwa Naibu Mwenyekiti wa CCM (2005-2009), Waziri Mkuu (1990-1994), Kamishina Mkuu wa Tanzania huko Uingereza (1989-1999), Waziri wa Utamaduni Chakula na Usalama (1975-1980), na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushiriano wa Kimataifa (1972-1975).

Tazama pia

Marejeo