Shirikisho la Mikronesia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Manually assisted solving of mixed interwiki; Nyongeza: ace, af, an, ar, arz, ast, az, bat-smg, be, be-x-old, bg, bn, bo, bpy, br, bs, ceb, crh, cs, cv, cy, dv, el, eu, fa, fiu-vro, frp, fy, ga, gd, gl, gv, hi, hif, hr, ht, hu, id, io, is, it,
d roboti Badiliko: tl:Mikronesya (bansa); cosmetic changes
Mstari 48:
|calling_code = 691
}}
[[ImagePicha:Pohnpei Kolonia Church.jpg|thumb|250px|left|Kanisa katoliki kisiwani Pohnpei]]
[[ImagePicha:FSCNationalCapitol.jpg|thumb|250px|left|Bunge la Kitaifa mjini Palikir]]
 
'''Shirikisho la Mikronesia''' ni [[nchi ya visiwani]] katika [[Pasifiki]] kaskazini ya [[Papua Guinea Mpya]]. Ni nchi huru inayoshirikiana na [[Marekani]]. Nchi ilikuwa eneo lindwa chini ya Marekani kwa niaba ya Umoja wa Mataifa ikapata uhuru wake 1986.
 
== Jiografia ==
Shirikisho lajumlisha sehemu kubwa ya [[funguvisiwa ya Karolini]] katika Mikronesia kanda la Pasifiki. Nchi ina majimbo manne ya kujitawala ambayo ni [[Chuuk]], [[Kosrae]] [[Pohnpei]] na Yap. Visiwa vya [[Palau]] ni pia sehemu ya Karolini lakini ni nchi ya pekee.
 
Mstari 68:
!Msongamano
|---
|[[ImagePicha:Flag of Chuuk.png|50px|Flag of Chuuk]] || '''[[Chuuk]]''' || [[Weno]] || 127 km<sup>2</sup> || 53,595 || 1,088 per km<sup>2</sup>
|---
|[[ImagePicha:Flag of Kosrae.png|50px|Flag of Kosrae]] || '''[[Kosrae]]''' || [[Tofol]] || 110 km<sup>2</sup> || 7,686 || 70 per km<sup>2</sup>
|---
| || '''[[Pohnpei]]''' || [[Palikir]] || 346 km<sup>2</sup> || 34,486 || 100 per km<sup>2</sup>
|---
|[[ImagePicha:Yap flag.svg|50px|Flag of Yap]] || '''[[Yap]]''' || [[Colonia, Yap|Colonia]] || 118 km<sup>2</sup> || 11,241 || 95 per km<sup>2</sup>
|}
 
 
== Historia ==
[[ImagePicha:Map_of_the_Federated_States_of_Micronesia_CIA.jpg|thumb|350px|left]]
Visiwa vimekaliwa na watu tangu miaka 4,000 hasa kutoka Rasi ya Malay na visiwa vya Indonesia. Wengine wametokea kutoka visiwa vya Polynesia.
 
Kisiwani Yap kulitokea dola na uatawala wa kifalme. Tangu kufika kwa Wa[[hispania]] katika [[karne ya 16]] visiwa vilikuwa chini ya ubwana wa nje lakini maisha ya kawaida yaliendelea bila mabadiliko makubwa kwa muda mrefu. Mwisho wa karne ya 19 Hispania iliuza koloni kwa [[Ujerumani]]; utawala wa Kijerumani ulikwisha katika [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] ukachukuliwa na [[Japani]] hadi mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. JApani ilifuatwa na Marekani iliyoendelea kutawala kwa niaba ya [[UM]] hadi uhuru.
 
== Uchumi ==
Uchumi wa nchi hutegemea hasa kilimo cha kujisukuma na uvuwi. Mapato ya serikali ni kutokana na vibali kwa wavuwi wa nje wanaovua samaki ndani ya maji ya shirikisho. Kuna pia uchimbaji wa fosfeti.
 
Mstari 93:
{{Pasifiki}}
 
[[CategoryJamii: Shirikisho la Mikronesia| ]]
[[CategoryJamii:Australia na Visiwa vya Pasifiki]]
 
[[ace:Federasi Mikronesia]]
Mstari 193:
[[tg:Микронезия]]
[[th:ประเทศไมโครนีเซีย]]
[[tl:MicronesiaMikronesya (estadobansa)]]
[[tr:Mikronezya Federal Devletleri]]
[[tt:Микронезия Федератив Штатлары]]