Waziri mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
 
===Waziri Mkuu katika muundo wa [[serikali ya kibunge]]===
* waziri mkuu kama kiongozi wa siasa ya nchi anachaguliwa na bunge. <br>Mifano: [[Ethiopia]], [[Uhindi]], [[Uingereza]] au [[Ujerumani]]. <br>Katika muundo huu nafasi ya rais au ya mfalme ni cheo cha heshima kama ishara ya umoja wa taifa. Waziri mkuu hutegemea kabisa idadi ya wabunge wanaoshikamana naye. Mkuu wa dola anaongezeka umuhimu kama bunge limegawanywa na hakuna uwingi ulio wazi kwa mgombea mmoja wa nafasi ya waziri mkuu.
**Katiba zinatofautiana kama mawaziri wote wako tu kwa mapenzi ya waziri mkuu au kama bunge linawachagua mmoja-mmoja. Hii inamaanisha tofauti kama waziri ana msimamo mbele ya waziri mkuu au kama hana.
 
Mstari 24:
* [[Tanzania]](chini ya rais)
* [[Thailand]] (chini ya mfalme)
* [[Ethiopia]] (chini ya rais, mfumo wa kibunge)
* [[Uhindi]] (chini ya rais, mfumo wa kibunge)
* [[Ujerumani]] (chini ya rais, mfumo wa kibunge)