Pius Msekwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
d kubwa ---> ndogo herufi, replaced: Watu Walio Hai → Watu walio hai using AWB
Mstari 13:
==Uongozi katika Elimu==
Mh. Msekwa aliwahi kuwa Profesa wa Heshima katika [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]] mwaka 1976, Mwenyekiti wa Tume ya Kupitia Mfumo wa Sheria nchini Tanzania, iliyojulikana kama "Tume ya Msekwa" kati ya mwaka 1975-1977 na Makamu Mkuu wa [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]] kati ya mwaka 1970-1977.
 
 
Msekwa pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Mitihani nchini (NECTA) kati ya mwaka 1968-1970, Mjumbe na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini kati ya mwaka 1962-1980.
Line 19 ⟶ 18:
==Mengineyo katika Serikali==
Mh. Msekwa aliwahi pia kuwa Karani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kati ya mwaka 1962-1970, Karani Msaidizi wa Bunge kati ya mwaka 1960-1962 na Spika wa Bunge kati ya mwaka 2000-2005.
 
 
Vilevile Mbunge (wa kuchaguliwa) Jimbo la Ukerewe kati ya mwaka 1995-2000, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kati ya mwaka 1991-1994.
 
 
Pia Mbunge (wa kuchaguliwa)-Jimbo la Ukerewe kati ya mwaka 1990-1995, Mkuu wa mikoa ya Tabora na Kilimanjaro kati ya mwaka 1981-1984 na Ofisa wa Bunge kati ya mwaka 1981-1984.
 
 
Pia aliwahi kuwa Katibu Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kati ya mwaka 1977-1980 na Katibu Mkuu Mtendaji wa chama tawala cha Tanganyika Africa National Union (TANU) kati ya mwaka 1967-1970.
Line 33 ⟶ 29:
{{DEFAULTSORT:Msekwa, Pius}}
[[Jamii:Spika wa Bunge la Tanzania]]
[[CategoryJamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[CategoryJamii:Watu Waliowalio Haihai]]
[[CategoryJamii:Waliozaliwa 1935]]
 
[[en:Pius Msekwa]]