Adamawa (jimbo) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|250px|Mahali pa jimbo la Adamawa '''Adamawa''' ni jimbo la kujitawala la Nigeria lenye wakazi milioni 3.7 (2005) na eneo la 36,917 km². [...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:02, 30 Mei 2007

Adamawa ni jimbo la kujitawala la Nigeria lenye wakazi milioni 3.7 (2005) na eneo la 36,917 km². Mji mkuu ni Yola na mji mkubwa ni Jimeta mwenye wakazi mit 248,166 (2005).

Mahali pa jimbo la Adamawa

Jimbo liko katika mashariki ya Nigeria mpakani wa Kamerun. Limepakana na majimbo ya Borno, Gombe na Taraba.

Adamawa ilianzishwa mwaka 1976 kama jimbo kwa jina la Gongola kutokana maeneo ya jimbo la awali la Kaskazini-Mashariki. 1991 jina likabadilishwa kuwa Adamawa.