Jimeta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Jimeta''' ni mji mkubwa katika jimbo la Adamawa nchini Nigeria. Mji umekadiriwa kuwa na wakazi lakhi mbili na nusu mwaka 2005. Jimeta ina bandari kando la [[mt...
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Jimeta''' ni mji mkubwa katika jimbo la [[Adamawa (jimbo)|Adamawa]] nchini [[Nigeria]]. Mji umekadiriwa kuwa na wakazi lakhi mbili na nusu mwaka 2005. Uko kando la [[mto Benue]] ukitazama [Kameruni].
 
Jimeta ina bandari kando la [[mto Benue]]. Kwa miaka kadhaa wakati wa ukoloni iliunganishwa na mji wa karibu wa [[Yola]] lakini tangu 1955 imekuwa tena mji wa pekee.
 
Jimeta ni bandari muhimu kwenye njia ya mto Benue. Hasa wakati wa maji mengi kati ya Julai hadi Oktoba meli ndogo hubeba karanga na pamba kutoka Kameruni pamoja na ngozi kutoka Adamawa kwenda mabandari ya baharini kwenye mdomo wa [[mto Niger]].
 
Jimeta imeunganishwa kwa barabara na Yola, Bombi, Mubi, Bama, and Maiduguri. Kuna feri kwenda Kamerun.
 
[[Category:Miji ya Nigeria]]