Isaac Newton : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: vec:Isaac Newton
Commons
Mstari 3:
'''Isaac Newton''' ([[4 Januari]], [[1642]] – [[31 Machi]], [[1727]]) alikuwa mwanahisabati na mwanafizikia kutoka nchi ya [[Uingereza]]. Anakumbukwa kama mwanasayansi maarufu duniani kutokana na michango yake mbalimbali katika sayansi. Ndiye aliyegundua tawi la [[calculus]] na nadharia ya mwendo. Newton alipata shahada yake ya kwanza mwaka 1665 na ile ya uzamili mwaka 1668. Mchango mwingine wa Isaac Newton upo katika nadharia ya mwanga, kuona na jinsi rangi zinavyotokea. Nadharia zake zote aliziweka katika vitendo na kukubalika na ndizo zitumikazo hadi leo.
 
{{Commons|Isaac Newton}}
{{mbegu-mwandishi-Ulaya}}
{{mbegu-mwanasayansi}}