Aung San Suu Kyi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 27:
| }}
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]'''Aung San Suu Kyi''' ni kiongozi wa harakati ya kidemokrasia nchini [[Myanmar]] (Burma)
Aung San Suu Kyi
1988 alirudi Burma kumwona mamake mzee aliyekuwa mgonjwa akajikuta katika siku za mwisho za serikali ya dikteta ya kijeshi jenerali Ne Win.
Aung San Suu Kyi kama binti wa
1991 alipewa [[Tuzo ya Nobel ya Amani]] iliyopokelewa na wanawe kwa niaba yake kwa sababu Suu Kyi aliogopa kutoka nje ya Myanmar kwa hofu hataruhusiwa kurudi tena.
|