Afyonkarahisar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: cs:Afyonkarahisar
d roboti Nyongeza: gag:Afyonkarahisar; cosmetic changes
Mstari 1:
[[Picha:HalukOzozluWwwSihirliturComAfyonkarahisarGeneralView.jpg|thumb|right|400px|Mji wa Afyonkarahisar jinsi unavyoonekana kwa picha ya juu.]]
'''Afyonkarahisar''' (kifupi pia: '''Afyon''') ni mji uliopo magharibi mwa nchi ya [[Uturuki]], na ni mji mkuu wa [[Mkoa wa Afyonkarahisar]]. Afyon ni mji uliopo milimani kutoka nchi kavu kuelekea katika pwani ya [[Bahari ya Aegean|Aegean]], takriban [[km]] 250 (155 mi) kutoka kusini-magharibi mwa mji wa [[Ankara]] hadi kuelekea [[Mto Akar]]. Kuna mita 1,034 za maporomoko. Idadi ya wakazi imefikia 128,516 kwa mujibu wa sensa ya mwaka wa 2000.
 
Kukiwa na hali ya hewa ya baridi sana, barabara zote huenea barafu.
 
== Jina ==
Jina ni la [[Kituruki]] kwa ajili ya ngome nyeusi iliyopo katikati ya mji wa kale. Zamani iliitwa Afyon pekee kutokanana na dawa la [[afyuni]] lililotengenezwa hapa kwa wingi kutokana na mashamba makubwa ya [[mipopi]] yanayolimwa katika mazingira ya mji.
 
Tahajia za kizamani zilikuwa zimejumlisha '''Karahisar-i Sahip Afium-Kara-hissar''' na '''Afyon Karahisar'''. Mji ulikuwa ukifahamika kama Afyon (afyuni), hadi hapo jina lilipokuja kubadilishwa mwaka 2004 na bunge la Uturuki.
 
== Historia ==
==Viungo vya Nje==
* [http://www.afyon.bel.tr/ City council website] {{tr icon}}
Mstari 45:
[[fj:Afyonkarahisar]]
[[fr:Afyonkarahisar]]
[[gag:Afyonkarahisar]]
[[gl:Afion - Afyon]]
[[hu:Afyonkarahisar]]