Mkoa wa Isparta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: la:Isparta (provincia)
d roboti Nyongeza: gag:Isparta; cosmetic changes
Mstari 9:
 
'''Isparta''' ni jina la [[Mikoa ya Uturuki|mkoa]] uliopo mjini kusini-magharibi mwa nchi ya [[Uturuki]]. Mikoa ya karibu na mkoa huu ni pamoja na [[Mkoa wa Afyon|Afyon]] kwa upande wa kaskazini-magharibi, [[Mkoa wa Burdur|Burdur]] kwa upande wa kusini-magharibi, [[Mkoa wa Antalya|Antalya]] kwa upande wa kusini, na [[Mkoa wa Konya|Konya]] kwa upande wa mashariki. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 8,993 na jumla ya wakazi takriban 547,525 up kutoka 434,771 (1990). Mji mkuu wake ni [[Isparta]].
== Wilaya za mkoani hapa ==
Mkoa wa Isparta umegawanyika katika wilaya 13 (mji mkuu '''umekoozeshwa'''):
* [[Aksu, Isparta|Aksu]]
* [[Atabey]]
* [[Eğirdir]]
* [[Gelendost]]
* [[Gönen, Isparta|Gönen]]
* '''[[Isparta]]'''
* [[Keçiborlu]]
* [[Şarkikaraağaç]]
* [[Senirkent]]
* [[Sütçüler]]
* [[Uluborlu]]
* [[Yalvaç]]
* [[Yenişarbademli]]
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.ispartamiz.com Isparta City and Life Guide]
* [http://www.ispartaliyiz.com Isparta City Guide]
 
{{Districts of Turkey|provname=Isparta|image=Isparta}}
Mstari 52:
[[fj:Isparta Province]]
[[fr:Isparta (province)]]
[[gag:Isparta]]
[[hu:Isparta (tartomány)]]
[[id:Provinsi Isparta]]