Waraka kwa Waefeso : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: es:Epístola a los Efesios
Mstari 3:
Barua kwa [[Waefeso]] ni kati ya vitabu 27 vya [[Agano Jipya]] ambalo pamoja na [[Agano la Kale]] linaunda [[Biblia ya Kikristo]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
== Mazingira ==
 
[[Mtume Paulo]] aliweza kuandika barua hii akiwa kifungoni [[Roma]] kati ya miaka 61 na 63 ili isomwe katika makanisa yote ya mkoa wa [[Asia Ndogo]], wenye makao makuu [[Efeso]].
 
== Mada ==
 
Mafundisho yake yanalingana na yale ya [[barua kwa Wakolosai]] ila yamechimbwa zaidi, kiasi kwamba barua hii inaonekana kuwa kilele cha [[teolojia]] ya Paulo.
Mstari 18:
 
 
== Kiungo cha nje ==
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
 
[[CategoryJamii: Vitabu vya Agano Jipya|Efe]]
 
[[Category: Vitabu vya Agano Jipya|Efe]]
 
[[ar:رسالة بولس الرسول إلى أهل أفسس]]
Line 52 ⟶ 51:
[[lmo:Letera ai Efesit]]
[[lt:Laiškas efeziečiams]]
[[ml:എഫേസോസുകാർക്ക് എഴുതിയ ലേഖനം]]
[[nl:Brief van Paulus aan de Efeziërs]]
[[no:Paulus' brev til efeserne]]