Alfabeti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: tt:Älifba
d [r2.5.2] roboti Nyongeza: hif:Akchhar; cosmetic changes
Mstari 1:
[[Image:Mifumo ya mwandishi duniani.png|thumb|350px|Mifumo ya mwandishi duniani
'''Alfabeti:'''
Kilatini ,
Kikirili ,
Mstari 5:
Kigiriki ,
Kigeorgia na Kiarmenia

'''Abjadi:'''
Kiarabu ,
Kiarabu pamoja na Kilatini ,
Kiebrania pamoja na Kiarabu

'''Abugida:'''
Kihindi ya Kaskazini ,
Mstari 17:
Kithaana
Mwandishi wa kizalendo wa Kanada ,

'''Alama kwa neno lote na alama za silabi:'''
Alama za neno lote ,
Mstari 26:
'''Alfabeti''' ni kiasi cha alama zinazotumiwa kuandika sauti za lugha fulani. Alama hizi hupatikana kama orodha kwa ufuatano uliokubaliwa, kwa mfano "'''a,b,c,d,e'''".

Jina la "alfabeti" hutokana na [[mwandiko wa Kigiriki]] ambamo herufi mbili za kwanza ni '''α''' "alfa" na '''β''' "beta".

Alfabeti ni mtindo wa [[mwandiko]] uliosambaa duanini kote. Kwa lugha nyingi imechukua nafasi ya miandiko ya awali.

Alfabeti huonyesha sauti si maneno kamili - hii ni tofauti na mwandiko kama [[Kichina]] mwenye alama kwa ajili ya neno lote.

=== Mifano ya Alfabeti ===
Alfabeti inayotumiwa zaidi kimataifa ni alfabeti ya [[Kilatini]]. Lakini kuna alfabeti kadhaa zinazojulikana kimataifa kama vile:
* [[Alfabeti ya Kilatini]] (au "alfabeti ya Kirumi")
Mstari 42:
Mengine ni alfabeti kama vile [[Kikopti]], [[Kigeorgia]], [[Kiarmenia]] na vingine.

=== [[Abugida]] ===
Aina ya pekee za alfabeti ni miandiko ya "[[abugida]]". Hii inamaanisha namna ya kuandika ambako hakuna alama za pekee kwa ajili ya vokali. Kila alama ya konsonanti ina namna mbalimbali ya kuonekana kwa kuongeza alama ndogo inayoonyesha ni vokali ipi inayofuata. mifano yake ni

* [[alfabeti ya Kiethiopia]]
* [[alfabeti ya Kihindi]]

{{mbegu-lugha}}
[[Category:Mwandiko]]
[[Category:Alfabeti| ]]

[[CategoryJamii:Mwandiko]]
[[CategoryJamii:Alfabeti| ]]

[[af:Alfabet]]
Mstari 95:
[[he:אלפבית]]
[[hi:मूलाक्षर]]
[[hif:Akchhar]]
[[hr:Abeceda]]
[[ht:Alfabèt]]