Pasaka : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: mrj:Когечӹ, zu:IPhasika |
d ainisha {{mbegu}} using AWB |
||
Mstari 1:
[[Picha:GrunewaldR.jpg|thumb|200px|]]
{{Mwaka wa liturujia}}
[[Picha:
[[Picha:
'''Pasaka''' ni jina la sikukuu muhimu katika dini za [[Uyahudi]] na [[Ukristo]]. Jina la Pasaka limetokana na neno la [[Kiebrania]] "פסח" (tamka: pasakh).
Mstari 8:
* '''[[Pasaka ya Kiyahudi]]''' ni sikukuu ya kumbukumbu kwa kutoka kwa [[Wanaisraeli]] kutoka [[Misri]] wakati wa [[Musa]] mnamo miaka 1200 [[KK]].
* '''[[Pasaka ya Kikristo]]''' ni sikukuu ya kukumbuka kufufuka kwake [[Yesu Kristo]] siku ya tatu baada ya kusulibiwa kwake. Inahesabiwa kuwa sikukuu muhimu kabisa katika Ukristo.
Taarifa za [[Agano Jipya]] zinatoa habari ya kuwa kifo na kufufuka kwa Yesu yametokea wakati wa sikukuu ya Pasaka ya Kiyahudi. Kwa hiyo jina la sikukuu hiyo imeendelea kutumikwa kwa ajili ya sherehe ya kikristo.
Mstari 75:
|-
|}
{{mbegu-dini}}
{{commonscat|Easter}}
Mstari 89:
{{Link FA|mk}}
{{Link FA|uk}}
[[af:Paasfees]]
[[als:Ostern]]
|