Muwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Badiliko la jamii
No edit summary
Mstari 18:
''[[Saccharum officinarum|S. officinarum]]'' <small>L.</small>
}}
'''Miwa''' (''Saccharum'' spp.) ni aina za [[nyasi|manyasi]] yanayotoa [[sukari]]. Asili yake ilikuwa Asia ya Mashariki na kutoka huko imesambazwa katika nchi za tropiki penye mazingira inayofaa kwake. Kilimo cha mmea huu ni chanzo cha sehemu kubwa ya sukari kwa ajili ya matumizi ya kibinadamu na pia kwa sehemu kubwa ya [[ethanoli]] inayotengenzwa kwa matumizi ya [[biofueli]].
 
==Kilimo==
Muwa hulimwa kote katika nchi za kitropiki ikiwa ni chanzo cha asilimia 55 ya mahitaji ya sukari duniani. Nchi zinazolima muwa nyingi ni (uzalishaji wa mwaka 2005 kwa tani 1.000)
* [[Brasilia]] (420.121)
* [[Uhindi]] (232.320)
* [[China]] (92.130)
* [[Thailand]] (49.572)
* [[Pakistan]] (47.244)
* [[Mexiko]] (45.127)[6]
 
Nchi za [[Afrika ya Mashariki]] huzalisha kiasi kidogo tu duniani kama [[Tanzania]] (tani 300,000), Kenya (5,112,000) na Uganda (2,350,000).<ref>takwimu 2008 ya [[FAO]] http://faostat.fao.org/site/567/DesktopDefault.aspx?PageID=567#ancor</ref>.
 
Kati ya 204 hadi 2008 uzalishaji duniani ulionhezeka kutoka tani bilioni 1.34 kufikia tani bilioni 1.74. <ref>takwimu ya FAO Food and Agriculture Organization of the United Nations (FAO) FAOSTAT - Production - Crops</ref>
 
 
 
==Picha==
Line 28 ⟶ 43:
File:Sugar cane dsc09008.jpg|Miwa iliyokatika
</gallery>
 
==Marejeo==
<references/>
 
{{Mbegu-mmea}}