Ngwini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d [r2.6.5] roboti Nyongeza: ce:Tehkarg Badiliko: fr:Sphenisciformes, it:Spheniscidae
d r2.5.2) (roboti Nyongeza: hi:पेंगुइन; cosmetic changes
Mstari 10:
| oda = [[Sphenisciformes]] (Ndege kama [[ngwini]])
| familia = [[Spheniscidae]] (Ndege walio na mnasaba na [[ngwini]])
| jenasi = ''[[Aptenodytes]]'' [[John Frederick Miller|J.F. Miller]], 1778

''[[Eudyptes]]'' [[Louis Jean Pierre Vieillot|Vieillot]], 1816

''[[Eudyptula]]'' [[Charles Lucien Bonaparte|Bonaparte]], 1856

''[[Megadyptes]]'' [[Henri Milne-Edwards|Milne-Edwards]], 1880

''[[Pygoscelis]]'' [[Johann Georg Wagler|Wagler]], 1832

''[[Spheniscus]]'' [[Mathurin Jacques Brisson|Brisson]], 1760

'''Ngwini''' au '''Pengwini''' ni [[ndege]] wa bahari katika [[familia]] [[Spheniscidae]]. Ndege hawa hawawezi kuruka angani lakini chini ya maji huenda kama “kupuruka”. Kwa kweli, wanaishi baharini nusu ya mwaka na wanarudi nchi kavu ili kuzaa tu. Kwa kawaida ngwini ni weupe kwa kidari na tumbo na weusi kwa mgongo (aina ya [[kamafleji]]). Huwakamata [[uduvi|nduvi]] ([[w:krill|krill]]), [[samaki]], [[ngisi]] na wanyama wengine wadogo wa bahari. Hata kama kwa kawaida ngwini huhusishwa na barafu ya [[Antakitiki]], spishi nyingi huyataga mayai yao kwa pwani za visiwa zenye miamba au ndani ya mashimo ambayo ngwini wameyachimba. Jike huyataga mayai mawili, lakini yule wa spishi za ''Aptenodytes'' hulitaga moja tu. Jike na dume huatamia mayai kwa zamu, lakini kwa kawaida kinda moja hutoka tu au kinda moja analishwa tu. ''Aptenodytes forsteri'' ([[w:Emperor Penguin|Emperor Penguin]]) huzaa mbali na bahari juu ya barafu ya [[Bara la Antakitiki]]. Dume hutamia yai wakati jike anapotafuta chakula cha kumpa kinda.

== Spishi za Afrika ==
* ''Aptenodytes patagonicus'', [[Ngwini Mfalme]] ([[w:King Penguin|King Penguin]])
* ''Eudyptes chrysocome'', [[Ngwini Mrukaji]] ([[w:Rockhopper Penguin|Rockhopper Penguin]])
Mstari 28:
* ''Spheniscus demersus'', [[Ngwini wa Afrika]] ([[w:African Penguin|African Penguin]])

== Spishi za mabara mengine ==
* ''Aptenodytes forsteri'' ([[w:Emperor Penguin|Emperor Penguin]])
* ''Eudyptes chrysocome'' ([[w:Rockhopper Penguin|Rockhopper Penguin]])
Mstari 46:
* ''Spheniscus mendiculus'' ([[w:Galápagos Penguin|Galápagos Penguin]])

== Spishi za kabla ya historia ==
* ''Eudyptes'' sp. ([[w:Chatham Islands Penguin|Chatham Islands Penguin]]) (Mwisho wa Quaternary? ya [[Visiwa vya Chatham]])
* ''Pygoscelis calderensis'' (Mwisho wa Miocene ya Bahía Inglesa, [[Chile]])
Mstari 52:
* ''Pygoscelis tyreei'' ([[w:Tyree's Penguin|Tyree's Penguin]]) (Pliocene ya [[Nyuzilandi]])

== Picha ==
<gallery>
Image:KingPenguinAustralia.jpg|Ngwini mfalme
Mstari 106:
[[gl:Pingüín]]
[[he:פינגוויניים]]
[[hi:पेंगुइन]]
[[hr:Pingvinke]]
[[hu:Pingvinfélék]]