Wahaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d ainisha {{mbegu}} using AWB
No edit summary
Mstari 1:
'''Wahaya''' ni Kabila linalopatikana katika [[Mkoa wa Kagera]], Kaskazini Magharibi mwa [[Tanzania]], kandokando mwa [[Ziwa Victoria]]. Lugha yao ni [[Kihaya]].Wahaya ni moja ya makabla ya mwanzo kupata elimu kwani makanisa ya kikristo yalisaidia kujenga shule kila palipokuwa na kanisa. Hii ilisaidia wahaya kuonekana wasomi hata wakaitwa NSHOMILE (NIMESOMA.
Wahaya wanalima ndizi, kahawa na mazao mengine ya chakula. Pia wana msimu wa senene ambao ni jamii ya panzi. hawa senene ni chakula kinachoheshimika miongoni mwa wahaya. Mtu aliye mbali na Bukoba, Muleba na maeneo ambapo senene hawapatikani huwa ni utaratibu wa mke kuweka senene kwa ajili ya mumuwe. kama mtu hajaoa ndugu wengine humwekea. Hii huonesha kuwa yule ambaye hakuwepo wakati wa msimu wa senene anathaminiwa.
 
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
{{DEFAULTSORT:Haya}}
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
 
[[en:Haya people]]
[[eo:Hajaoj]]
[[it:Haya]]
[[no:Haya]]
[[zh:哈亚人]]