Wisconsin : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
This picture was recently added (and removed) crosswiki on many pages. Now it is being added again crosswiki on different pages. Spam/promotion/propaganda. |
||
Mstari 26:
'''Wisconsin''' ni [[jimbo]] la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au [[Marekani]]. Mji mkuu ni [[Madison]] na mji mukubwa ni [[Milwaukee]]. Jimbo lina wakazi wapatao 5,627,967 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 169,790. Mipaka asilia ni [[Ziwa Michigan]] upande wa mashariki na [[Ziwa Superior]] upande wa kazkazini. Imepakana na [[Michigan]], [[Illinois]], [[Iowa]] na [[Minnesota]].
[[Picha:Map of Wisconsin NA.png|thumb|left]]
== Viungo vya Nje ==
*[http://www.wisconsin.gov State of Wisconsin Official Website]
|