Tofauti kati ya marekesbisho "Paul Simon"

294 bytes added ,  miaka 15 iliyopita
no edit summary
d
'''Paul Simon''' ni mwanamuziki wa country, anaimba na kupiga gitaa amewahi kushirikiana na wanamuziki wengi moja ya makundi hayo ni
Ladysmith Black Mabanzo. Nyimbo alizowahi kuimba ni; Homeless..; Mother and child reunion na Diamond in the soleof her shoe.
Paul Simon alizaliwa Oktoba 13 1941 katika mji wa Newark Height,
New jersey huko alifahamika kama muimbaji na mtunzi mwenye asili ya kiyahudi aliwahi kufunga ndoa mara tatu ana watoto wanne mmoja wapo
ni mpigaji gitaa kama baba yake.
 
[[Category:Wanamuziki]]
107

edits