Mbeya : Tofauti kati ya masahihisho

7 bytes removed ,  miaka 16 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
Mbeya imekuwa na uwanja wa ndege ndogo isiyokuwa na huduma ya kawaida kwa muda mrefu. Lakini kuna mipango ya kujenga uwanja mpya huko Songwe zipatao km 40 kufuata njia ya kwenda Zambia.
 
Tangu miaka ya 1990 kitovu cha mji kimeanza kuhamishwakinahamishwa kutoka eneo la zamani kwenda karibu na barabara kuu ya Daresalaam – Zambia.
 
Kiasili Mbeya ilikuwa eneo la Wasfwa. Siku hizi sehemu kubwa ya wakazi wanaweza kuwa Wanyakyusa kutoka wilaya ya Rungwe. Mbeya imeanzishwa na wakoloni Waingereza mnamo mwaka 1927. Sehemu kubwa ya wakazi ni wakristo, hasa wafuasi wa Kanisa la Katoliki, Kanisa la Moravian, Kanisa la Kiluteri. Kuna pia msikiti kubwa na hekalu ya Wahindu.