Nyuzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: el:Μοίρα (κύκλου)
d r2.5.2) (roboti Nyongeza: la:Gradus anguli; cosmetic changes
Mstari 1:
[[imagePicha:Positive angle.svg|thumb|250px|Pembe kali ya nyuzi 45°]]
'''Nyuzi''' ni kizio cha kupimia [[Pembe (jiometria)|pembe]] . Msingi wake ni mzunguko kamili wa [[duara]] unaogawiwa kwa sehemu 360. Kwa kawaida nyuzi moja huandikwa kama '''1°'''.
 
[[Nusuduara]] ina 180°. [[Pembemraba]] ina 90°. Jumla ya pembe ndani ya [[pembetatu]] ni 180°, ndani ya [[mstatili]] ni 360°.
 
== Historia ==
Asili ya hesabu hii huaminiwa kuwa katika [[Babeli]] ya Kale. Wababeli walihesabu [[mwaka]] kuwa na siku 360 na wakitazama [[nyota]] waliona ya kwamba kila [[siku]] zilihama takriban kiwango cha 1/360 cha duara.
 
Katika jiometria muundo huu ulielezwa kimsingi na mwana[[falaki]] [[Hipparchos wa Nikaia]] ([[190 KK]]–[[120 KK]]).
 
[[CategoryJamii:Jiometria]]
 
[[ar:درجة (زاوية)]]
Mstari 38:
[[ja:度 (角度)]]
[[ko:도 (각도)]]
[[la:Gradus anguli]]
[[ms:Darjah (sudut)]]
[[nds:Grad (Winkel)]]