Mbeya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
'''Mbeya'''
Jina la mkoa, wilaya na mji wa [[Tanzania]] Kusini-Magharibi
 
 
== Mkoa wa Mbeya ==
Mkoa wa Mbeya imepakana na [[Zambia]] na [[Malawi]], halafu na mikoa ya Rukwa, Tabora, Singida na Iringa.
Kuna wilaya zifuatazo: Mbeya mjini, Mbeya vijijini, Rungwe, Mbozi, Chunya na Chimala.
Mbeya ni kati ya maeneo yanayopendeza kabisa ndani ya Tanzania ikiwa na sehemu za [[Ziwa la Nyasa]], [[Ziwa Rukwa]], [[Milima ya Mbeya]], [[Milima ya Rungwe]], Uwanja wa juu wa Uporoto, Uwanja wa Usangu ingawa haukufikiwa na utalii.
Wilaya ya Rungwe ni eneo penye mvua nyingi katika Tanzania. Mkoa wa ujumla ni mojawapo kati ya mikoa yenye kilimo kizuri inayotoa mazao ya kulisha taifa. Lakini maeneo makubwa ya Wilaya ya Chunya ni makavu.
Wilaya ya Chunya ina madini mbalimbali hasa dhahabu.
Mstari 12:
 
== Mbeya, mji ==
Mbeya ni kati ya miji kumi mikubwa ya Tanzania. Umbali na [[Daresalaam]] ni kama km 850 kwa barabara ya lami. Idadi ya wakazi imekadiriwa kuwa wapatao 280.000 katika mw. 2005. Wengine mnamo 300.000 wanaishi katika mazingira karibu na Mbeya mjini.
Kuna njiapanda ya njia mbalimbali muhimu: Barabara kuu ya lami kutoka Daressalaam hugawanya hapa kwenda Malawi – Msumbiji kupitia Tukuyu/Rungwe, na kwenda Zambia – [[Afrika Kusini]] kupitia Tunduma/Mbozi. Vilevile njia ya reli ya TAZARA hupita Mbeya kuelekea Zambia. Kuna ghala kubwa kwa ajili ya mizigo ya Malawi inayofikishwa kwa reli kutoka Daresalaam bandarini ikihamishwa kwa malori kwenda Malawi hapa Mbeya.
Mbeya imekuwa na uwanja wa ndege ndogo isiyokuwa na huduma ya kawaida kwa muda mrefu. Lakini kuna mipango ya kujenga uwanja mpya huko Songwe zipatao km 40 kufuata njia ya kwenda Zambia.
 
Tangu miaka ya 1990 kitovu cha mji kinahamishwa kutoka eneo la zamani kwenda karibu na barabara kuu ya Daresalaam – Zambia.
 
Kiasili Mbeya ilikuwa eneo la Wasfwa. Siku hizi sehemu kubwa ya wakazi wanaweza kuwa Wanyakyusa kutoka wilaya ya Rungwe. Mbeya imeanzishwa na wakoloni Waingereza mnamo mwaka 1927. Sehemu kubwa ya wakazi ni wakristo, hasa wafuasi wa [[Kanisa la Katoliki]], [[Kanisa la Moravian]], [[Kanisa la Kiluteri]]. Kuna pia msikiti kubwa na hekalu ya Wahindu.
 
[[en:Mbeya]]