Vita ya Marekani dhidi Hispania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: af:Spaans-Amerikaanse Oorlog
d ainisha {{mbegu}} using AWB
Mstari 5:
Marekani ilitumia nafasi ya ghasia ya wenyeji wa Kuba dhidi ya utawala wa kikoloni ya Hispania. Baada ya mlipuko kwenye [[manowari]] ya Marekani [[USS Maine]] katika bandari ya [[Havana]] Marekani ilitangaza vita dhidi ya Hispania ingawa sababu ya mlipuko haikujulikana hadi leo ilikuwa nini. Hispania haikuweza kushindana na manowari na silaha za Marekani zilizokuwa zimeendelea kiteknolojia. Pia Marekani ilikuwa karibu na mahali pa vita na Hispania ilishindwa kuongeza wanajeshi au silaha.
 
{{mbegu-historia}}
 
[[Jamii:Vita]]
Mstari 12:
 
<!-- interwiki -->
 
[[af:Spaans-Amerikaanse Oorlog]]
[[ar:الحرب الأمريكية الإسبانية]]