Tofauti kati ya marekesbisho "Arusha"

20 bytes added ,  miaka 15 iliyopita
no edit summary
 
Arusha ina nafasi muhimu katika Historia ya Tanzania na Afrika. Mji umeanzishwa na Wajerumani mnamo mw. 1899. Ndipo hapo ya kwamba wakoloni Waingereza walitoa sahihi hati ya kuitolea Tanganyika uhuru mw. 1961.
Mw. 1967 chama tawala cha [[TANU]] kiliunga mkono Tamko la Arusha lililoanzisha kipindi cha [[Ujamaa]]. Kuanzia mw. 1967 hadi mw. 1977 Arusha ndipo makao makuu ya [[Jumuiya ya Afrika Mashariki]] hadi kuanguka kwa umoja huu.
Tangu mw. 1995 Mahakama ya Kimataifa ya Ruanda ina makao hapo.
Arusha ni makao makuu ya [[KKKT]], ambayo ni ofisi kuu ya [[Kanisa la Kiinjili Kiluteri Tanzania]].
 
Link (kiing.)