Tofauti kati ya marekesbisho "Arusha"

35 bytes added ,  miaka 15 iliyopita
no edit summary
Kuna wakazi 341,155 (mw. 2005 – kutoka mn. 50,000 mw. 1970 ). Eneo lake ni 1400 m juu ya uwiano wa bahari likiwa karibu na mlima wa Meru (4565m). Utalii na kilimo ni mgongo wa uti wa uchumi. Kwa sababu ya idadi kubwa ya watalii mji umepachikwa jina la “Dar-es-Safari”. Kuna pia viwanda muhimu vya kahawa, kusaga nafaka, kusafisha ukonge, kukuza maua za kuleta nje, pombe ya bia.
 
[[Media:http://en.wikipedia.org/wiki/Image:Arusha_Clocktower.jpg]]
 
Arusha ina nafasi muhimu katika Historia ya Tanzania na Afrika. Mji umeanzishwa na Wajerumani mnamo mw. 1899. Ndipo hapo ya kwamba wakoloni Waingereza walitoa sahihi hati ya kuitolea Tanganyika uhuru mw. 1961.