John Edward Gray : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d clean up using AWB |
Xqbot (majadiliano | michango) d r2.5.2) (roboti Nyongeza: el:Τζον Έντουαρντ Γκρέι; cosmetic changes |
||
Mstari 1:
[[Picha:Gray John Edward 1800-1875.png|thumb|<center>John Edward Gray]]
'''John Edward Gray''' ([[2 Februari]] [[1800]]
Alizaliwa mtoto wa baba mfarmasia aliyekusanya mimea. Mwenyewe alisoma [[tiba]] mjini [[London]] na mwaka 1824 aliajiriwa na idara ya zoolojia kwenye [[Makumbusho ya Kibritania]]. Akaendelea kuwa mkurugenzi wa idara hii tangu 1840 akaiongoza hadi 1874.
Wakati wake ilikuwa kipindi cha uenezaji wa Milki ya Britania kote duniani na hii ilimsaidia kuongeza
Kazi hii ilimleta [[uainishaji wa kisayansi|kuainisha]] mamia ya spishi za wanyama na ndege na kwa hiyo jina lake linakumbukwa katika majina ya spishi alizotangulia kueleza kisayansi.
Mstari 14:
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.rspb-walsall.org.uk/gray/index.htm John Edward Gray, the Indian Pond Heron and Walsall]
{{mbegu-mwanasayansi}}
Mstari 28:
[[da:John Edward Gray]]
[[de:John Edward Gray]]
[[el:Τζον Έντουαρντ Γκρέι]]
[[en:John Edward Gray]]
[[es:John Edward Gray]]
|