Ufunuo wa Yohane : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: lmo:Apucaliss de Giuan
d r2.5.2) (roboti Badiliko: et:Johannese ilmutuse raamat; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Zjevení Janovo.JPG|270px|thumb]]
 
'''Kitabu cha Ufunuo''' ni cha mwisho katika orodha ya vitabu 27 vinavyounda [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
== Mwandishi ==
 
Kundi la mwisho la vitabu vya [[Agano Jipya]] linajulikana kwa jina la [[Yohane]], kwa kuwa [[Injili]] ya nne, barua tatu na kitabu cha Ufunuo viliandikwa na mtume huyo na wanafunzi wake.
Mstari 18:
Ufunuo ni kitabu pekee cha kinabii katika Agano Jipya; kilikamilika mwaka 95 hivi [[B.K.]]; lengo lake ni kuwaimarisha katika tumaini [[Wakristo]] waliozidi kudhulumiwa na serikali ya [[Roma]].
 
== Mtindo wa uandishi ==
 
Kitabu hiki kimejaa mafumbo kama kawaida ya mtindo wa kiapokaliptiko.
Mstari 30:
Kwa ajili hiyo ni muhimu kujua maana zake katika [[Biblia]] (Ufunuo umejaa madondoo ya [[Agano la Kale]]: mistari 274 kwa 404!).
 
== Mpangilio ==
 
Mpangilio wake kwanza una barua saba kwa makanisa ya mkoa wa Efeso, halafu sura 4-22 zina [[unabii]] kuhusu mambo yajayo, yaani vita vikali zaidi na zaidi kati ya [[Yesu Kristo]] na [[shetani]] ambaye anatumia [[dini]] na serikali za [[Kipagani]].
Mstari 36:
Ushindi utakuwa wa Kristo na Kanisa, ambao hatimaye wanachorwa kama bwanaarusi na bibiarusi katika [[utukufu]] wa Mungu. (Ufu 1;4-5; 12; 21-22).
 
== Kiungo cha nje ==
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
 
[[CategoryJamii:Vitabu vya Agano Jipya]]
 
{{Link FA|es}}
Mstari 57:
[[eo:Apokalipso de Johano]]
[[es:Apocalipsis]]
[[et:IlmutuseraamatJohannese ilmutuse raamat]]
[[eu:Apokalipsi]]
[[fa:مکاشفه یوحنا]]