Mbuni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.5.1) (roboti Nyongeza: tum:Ntibatiba
Spishi katika sanduku la uainishaji
Mstari 12:
| jenasi = ''[[Struthio]]''
| bingwa_wa_jenasi = [[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758
| spishi = ''[[Struthio camelus|S. camelus]]'' <small>Linnaeus, 1758</small><br>
| spishi = Angalia katiba
''[[Struthio molybdophanes|S. molybdophanes]]'' <small>[[Anton Reichenow|Reichenow]], 1883</small>
}}
'''Mbuni''' ni [[ndege]] wakubwa wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Struthionidae]]. Kuna [[spishi]] mbili katika [[jenasi]] moja, lakini wataalamu wengine wanafikiri ni spishi moja tu. Ndege hawa ni wakubwa kuliko wengine wote. Wana miguu mirefu na shingo refu na wanaweza kukimbia sana, hata kwa mwendo wa km 65 kwa saa, lakini hawawezi kuruka angani. Mbuni wanaishi [[savana]] na [[nyika]] na majangwa ya [[Afrika]], lakini wanafugwa ulimwengu wote. Jina la sayansi la spishi kuu, ''Struthio camelus'', linatoka lugha ya [[Kiyunani]]: στρουθιον = [[jurawa]] na καμηλος = [[ngamia]].
Line 37 ⟶ 38:
* ''Struthio linxiaensis'' (Yangwapuzijifang, China, mwisho wa Miocene)
* ''Struthio oldawayi'' (Tanzania, mwanzo wa Pleistocene - labda spishi ndogo ya ''S. camelus'')
* ''Struthio orlovi'' ([[MoldaviaMoldova]], mwisho wa Miocene)
* ''Struthio wimani'' (China na [[Mongolia]], mwanzo wa Pliocene)
 
Line 45 ⟶ 46:
Image:Ostriches cape point.jpg|Mbuni kusi
Image:Masai ostrich.jpg|Mbuni Masai
File:Ostrich egg.jpg|Yai la mbuni
</gallery>
'''Mbuni'''