Tofauti kati ya marekesbisho "Maginetiti"

1 byte added ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|220px|Maginetiti kutoka Afrika Kusini '''Maginetiti''' ni madini yenye rangi nyeusi-kijivu yenye tabia ya ...')
 
No edit summary
'''Maginetiti''' ni [[madini]] yenye rangi nyeusi-kijivu yenye tabia ya [[sumaku]]. Kikemia ni oksidi ya [[feri|chuma]] yenye valensi za 2+ na 3+. Fomula yake ni Fe<sup>3+</sup><sub>2</sub>Fe<sup>2+</sup>O<sub>4</sub>.
 
Inatokea mara nyingi kwa umbo la [[fuwele]] zenye urefu wa karibu sentimita 1 na kona 8. Kiwango cha feri (chuma) hufikia asilimia 72 kwa hiyo ni malighafi muhimu kwa kutengeneakutengeneza chuma.
 
==Viungo vya Nje==