Kaskazini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
tafsiri ya makala
kuswahilisha
Mstari 1:
[[Picha:CompassRose16_N.png|thumb|250px|right|Alama za dira zikionyesha kaskazini katika hali ya mkoozo]]
'''Kaskazini''' ni moja kati ya mielekeo minne katikamikuu ya [[dira]]. KaskaziniMwelekeo kawaidawake huwa juu zaidi katika ramani.ni [[Kanada]] ipo kaskazini mwa nchincha ya [[Marekani]], [[Venezuela]] ipo kaskazini mwa nchi ya [[Brazil]], na [[Urusi]] ipo kaskazini mwa nchi ya [[India]]dunia. [[North Pole]] ni kaskazini ya mbali unayoweza kwenda.
 
Jina "kaskazini" limetokana na neno la Kiarabu "قيظ qiz" joto na "قيظ قائظ qiz qaez" hali ya hewa lenye joto sana; kutoka sehemu za Zanzibar au Uswahilini kwenda kaskazini kuelekea Somalia joto linaongezeka sana; upepo wa joto latokea huko.
 
Kaskazini kawaida huwa juu zaidi kwenye ramani. [[Kanada]] ipo kaskazini mwa nchi ya [[Marekani]], [[Venezuela]] ipo kaskazini mwa nchi ya [[Brazil]], na [[Urusi]] ipo kaskazini mwa nchi ya [[India]]. Ncha ya kaskazini ni kaskazini ya mbali unayoweza kwenda.
 
== Tazama pia ==