Dinosauri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{Uainishaji
| rangi = pink#D3D3A4
| jina = DinosauriDinosau
| picha = Saurier2.jpg
| upana_wa_picha = 200px250px
| maelezo_ya_picha = Sanamu ya tiranosauri (''Tyrannosaurus Rexrex'')
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] (Wanyama)
| faila = [[Chordata]] (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
| nusufailangeli = [[VetebrataSauropsida]] (wenyeWanyama utiwanaofanana wana mgongowatambaazi)
| nusungeli = [[Diapsida]] (wenyeWanyama wenya mashimo mawili kando la fuvufuyu la kichwa)
| ngeli = Reptilia (Watambaachi)
| oda ya juu = [[Dinosauria]] (Wanyama kama '''dinosau''')
| nusungeli = Diapsida (wenye mashimo mawili kando la fuvu la kichwa)
| nusuoda =
| Oda ya juu = Dinosauria
| subdivisionfamilia =
| nusufamilia =
| jenasi =
| bingwa_wa_jenasi =
| spishi =
| bingwa_wa_spishi =
}}
 
'''DinosauriDinosau''' (Kutoka Kigiriki δεινός'' deinos – "ya kutisha"'', σαῦρος ''sauros "mjusi''; pia: '''dinosaridinosauri, dinosaudinosari''') walikuwa kundi la reptilia wakubwa sana walioishi duniani miaka mamilioni iliyopita.
[[Picha:Trex1.png|thumb|left|Kulinganisha ukubwa wa ''tyrannosaurus''[[tiranosauri]] na binadamu]]
 
Wataalamu huamini ya kwamba dinosauridinosau walitokea miaka milioni 230 iliyopita wakapotea ghafla mnamo miaka 65 iliyopita. Ndege hutazamiwa kuwa katika nasaba ya dinosauridinosau.
 
Ujuzi kuhusu wanyama hao ni kutokana na [[visukuku]] vyao (mabaki yaliyokuwa jiwe) kama mifupa, nyayo, mayai au samadi. Visukuku vya dinosauridinosau vimepatikana kwenye mabara yote hata Antaktika kwa sababu waliishi wakati mabara yote bado yalikuwa pamoja kama bara kubwa asilia la [[Pangaia]].
 
Hadi sasa spishi 500 zimegunduliwa na idadi ya spishi zilizotambuliwa inazidi kuongezeka.
 
Kutokana na meno yao kumewezekana kutambua chakula chao. Wengine waliguwa wala majani, wengine wala nyama. Wakubwa sana walikula majani kama vile ''[[Apatosaurusapatosauri]]'' na ''[[Brachiosaurusbrakiosauri]]'' na hao walikuwa viumbehai wakubwa kabisa waliowahi kutembea duniani.
 
Wala nyama waliokimbia kwa miguu miwili ya nyuma jindi wanavyofanya watu lakini pia majusi kadhaa za leo.
 
 
Kulikuwa pia na reptilia wakubwa walioruka hewani walioitwa [[Pterosauripterosauri]] lakini kinasaba hawakuwa karibu sana na dinosauridinosau. Wengine wakubwa waliishi baharini kama [[Ichthyosauriikthiosauri]] na [[Plesiosauriplesiosauri]] hata hao walikuwa kundi nyingine.
 
=== Picha ===
Picha zifuatazo zinaonyesha kwanza visukuku vya kweli vya dinosauridinosau halafu uchoraji au sanamu zinazonyesha jinsi gani wataalamu wanadhani mnyama alionekana
<gallery>
image:Triceratops Struct.jpg|Kiunzi cha Triceratopstriseratopsi
image:Triceratops BW.jpg|Uchoraji wa Triceratopstriseratopsi
image:Stegosaurus Struct.jpg|Kiunzi cha Stegosauristegosauri (New York)
image:Bałtów Park Jurajski 001.jpg|Sanamu ya Stegosauristegosauri
image:Allosaurus SDNHM.jpg|Kiunzi cha Allosaurialosauri (San Diego Natural History Museum)
image:Allosaurus4.jpg|Uchoraji wa Allosaurialosauri
image:Berlin Diplodocus.jpg|Kiunzi cha Diplodocusdiplodoko (kutoka Tanzania - Museum für Naturkunde Berlin )
image:SeismosaurusDB.jpg|Uchoraji wa Diplodocusdiplodoko
</gallery>