Arusha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Arusha, mkoa ([[Mkoa wa Arusha]]), wilaya na mji''' katika [[Tanzania]] kazkazini-mashariki.
[[Image:Arusha_Clocktower.jpg|thumb|right|Arusha Clocktower]]
 
'''Mji wa Arusha''' ni kati ya miji kumi mikubwa ya Tanzania.
Kuna wakazi 341,155 (mw. 2005 – kutoka mn. 50,000 mw. 1970 ). Eneo lake ni 1400 m juu ya uwiano wa bahari likiwa karibu na mlima wa [[Meru]] (4565m). Utalii na kilimo ni mgongo wa uti wa uchumi. Kwa sababu ya idadi kubwa ya watalii mji umepachikwa jina la “Dar-es-Safari”. Kuna pia viwanda muhimu vya kahawa, kusaga nafaka, kusafisha ukonge, kukuza maua za kuleta nje, pombe ya bia.