Baba yetu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.5.2) (roboti Nyongeza: ik:Aapavut qilangmiittuatiin
No edit summary
Mstari 1:
'''Baba yetu''' (kwa [[Kigiriki]] Πάτερ ἡμῶν, Pater emon) ni maneno ya kwanza ya [[sala]] inayotokana na [[Yesu]] mwenyewe. Inaitwa pia "'''Sala ya Bwana'''". Kimataifa kuna pia jina la "paternosterPaternoster" kutokana na umbo la [[Kilatini]] la sala (Baba = "paterPater"; yetu = "noster").
NiNdiyo sala ya kikristo[[Ukristo|Kikristo]] inayojulikana zaidi. Makanisa[[Madhehebu]] mengi huitumia katika kila [[ibada]].
 
Ni sala ya kikristo inayojulikana zaidi. Makanisa mengi huitumia katika kila ibada.
 
== Maneno yake katika Biblia ==
[[File:Bloch-SermonOnTheMount.jpg|thumb|200px|''[[Hotuba ya mlimani]]'', mchoro wa [[Carl Heinrich Bloch]] ([[1890]]).]]
Kufuatana na taarifa za [[injili]] za Mathayo na Luka maneno ya sala hii yalitolewa na Yesu alipoombwa na wanafuzi wake kuwafundisha jinsi ya kusali. Taarifa ziko katika [[Agano Jipya]] la [[Biblia]] katika [[Injili ya Mathayo]] mlango wa 6, aya 13-19 na [[Injili ya Luka]] mlango wa 11 aya 2-4.
[[File:Pater Noster in Cantus Planus.png|thumb|Pater Noster ikiwa na [[noti]] za [[muziki wa Kigregori]].]]
 
Kufuatana na taarifa za [[Injili ya Luka]] (11:2-4) maneno ya sala hii yalitolewa na [[Yesu Kristo]] alipoombwa na wanafunzi wake kuwafundisha jinsi ya kusali.
== Tafsiri za Kiswahili ==
Kwa Kiswahili kuna maumbo tofauti kwa sababu sala ilitafsiriwa na wamisionari mahali mbalimbali kwa wakati tofauti na kuwa kawaida kimahali. Haikusanifishwa hadi leo kwa Wakristo wanaotumia Kiswahili. Maumbo mawili yanayotumiwa zaidi ni kama ifuatavyo:
 
Katika [[Agano Jipya]] la [[Biblia ya Kikristo]] tunakuta sala hiyo kama kiini cha [[Hotuba ya mlimani]] ([[Injili ya Mathayo]] mlango wa 6, aya 13-19). Ni kama ifuatavyo:
 
:Πάτερ ἡμῶν ὁ ἐν τοῖς οὐρανοῖς
=== Sala ya Bwana (umbo la Kiprotestanti jinsi inavyotumiwa katika Kanisa la Kiluteri na Kanisa la Moravian) ===
:ἁγιασθήτω τὸ ὄνομά σου
:Baba yetu uliye mbinguni,
:ἐλθέτω ἡ βασιλεία σου·
:Jina lako litukuzwe,
:γενηθήτω τὸ θέλημά σου,
:Ufalme wako uje,
:ὡς ἐν οὐρανῷ καὶ ἐπὶ τῆς γῆς·
:τὸν ἄρτον ἡμῶν τὸν ἐπιούσιον δὸς ἡμῖν σήμερον·
:καὶ ἄφες ἡμῖν τὰ ὀφελήματα ἡμῶν,
:ὡς καὶ ἡμεῖς ἀφίεμεν τοῖς ὀφειλέταις ἡμῶν·
:καὶ μὴ εἰσενέγκῃς ἡμᾶς εἰς πειρασμόν,
:ἀλλὰ ῥῦσαι ἡμᾶς ἀπὸ τοῦ πονηροῦ.
:ἀμήν.
 
'''Inasomeka:'''
 
:''Pater hēmōn, ho en tois ouranois
:''hagiasthētō to onoma sou;
:''elthetō hē basileia sou;
:''genethetō to thelēma sou,
:''hōs en ouranōi, kai epi tēs gēs;
:''ton arton hēmōn ton epiousion dos hēmin sēmeron;
:''kai aphes hēmin ta opheilēmata hēmōn,
:''hōs kai hēmeis aphiemen tois opheiletais hēmōn;
:''kai mē eisenenkēs hēmas eis peirasmon,
:''alla rhusai hēmas apo tou ponērou.
:''Amēn.
 
== Tafsiri za Kiswahili ==
Kwa Kiswahili kuna maumbo tofauti kwa sababu sala ilitafsiriwa na [[wamisionari]] mahali mbalimbali kwa wakati tofauti na kuwa kawaida kimahali. Haikusanifishwa hadi leo kwa Wakristo wote wanaotumia Kiswahili. Maumbo mawili yanayotumiwa zaidi ni kama ifuatavyo:
 
=== Sala ya Bwana (umbo la [[Uprotestanti|Kiprotestanti]] jinsi inavyotumiwa katikana Kanisa la Kiluteri[[Walutheri]] na Kanisa la Moravian[[Wamoravian]]) ===
:[[Baba]] yetu uliye [[mbinguni]],
:[[Jina]] lako litukuzwe,
:[[Ufalme]] wako uje,
:Mapenzi yako yatimizwe,
:hapa duniani kama huko mbinguni.
:Utupe leo [[riziki]] yetu.
:Utusamehe makosa yetu,
:kama sisi tunavyowasamehe waliotukosea.
:Na usitutie majaribuni,
:lakini utuokoe na yule mwovu.
:Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na [[utukufu]], hata [[milele]].
:Amin.
 
=== Sala ya Bwana (umbo linalotumika katika [[Kanisa Katoliki]]) ===
:Baba Yetu uliye mbinguni,
:jina lako litukuzwe;
Line 30 ⟶ 59:
:utakalo lifanyike
:duniani kama mbinguni.
:Utupe leo [[mkate]] wetu wa kila siku,
:utusamehe makosa yetu,
:kama nasi tunavyowasamehe na sisi waliotukosea.
:Usitutie katika [[kishawishi]],
:lakini utuopoe maovuni.
:[[Amina]].
 
 
== Mengineyo ==
Line 43 ⟶ 71:
 
=== Wimbo ya Baba Yetu kwa Kiswahili ===
Kuna wimbo wa Baba Yetu kazikakatika [[muziki]] yawa mchezo wa kompyuta "Civilization IV". Wimbo huu unasikika kila wakati wa kuanza mchezo. Ulitungwa na [[Christopher Tin]] kutoka Marakani[[Marekani]].
 
Wimbo ni wa kuvutia lakini kwa bahati mbaya maneno ya sala yamefupishwa kwa namna inayodokeza kwa kwamba mhariri asiyeelewa Kiswahili alipanga maneno kwa tuni na pia waimbaji hawakuelewa Kiswahili.
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.civfanatics.net/downloads/civ4/music/BabaYetu.mp3 Wimbo lawa Baba Yetu kwa Kiswahili kutoka mchezo wa kompyuta "Civilization IV"]
* [http://www.christusrex.org/www1/pater/ Baba Yetu kwa lugha 1,437 kwenye tovuti ya [[monasteri]] ya Paternoster, pamoja na picha za vigae vyake]
* [http://www.newadvent.org/cathen/09356a.htm Baba Yetu katika [[Catholic Encyclopaedia]].]
* [http://www.v-a.com/bible/prayer.html Baba Yetu kwa [[Kiaramu]], pamoja na sauti.]
* [http://www.vatican.va/archive/ENG0015/__P9V.HTM Ufafanuzi wa [[Kiingereza]] wa Baba Yetu katika [[Katekisimu ya Kanisa Katoliki]].]
 
[[Jamii:Ukristo]]
[[Jamii:Yesu]]
[[Jamii:Sala]]