Nishati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 5:
Katika sayansi lina mtizamo wa kipekee.
 
[[Image:Lightning over Oradea Romania 2.jpg|thumb|right|258px|[[Radi]] ni uvunjiko wa nguvu za kiumeme katika hewa unaotokana na uwindi umeme mkali(kutoka nishati uweza kiumeme na kuwa nishati ya kimakanika ya mwendo hovyo wa kimolekyuli(kusuguana nakufanya Ngurumo,[[Joto]]), na kuwa nuru[[Mwanga]]).]]
 
Mstari 72:
Hii ni kusema kuwa, kiasi cha nishati kitumikacho kufanya kazi huwa sawa sawa na kiasi cha kazi kiutathmini. Hivyo kama kitendo kinaweza kurudishwa kilikotekea, kiasi kile kile cha nishati itapatikana.
 
Vile vile nishati inaposababisha tukio ambalo nishati za aina ingine kutukia, basi kiasi cha tathinitathmini yake ni sawa sawa na nishati iliyosababisha.
 
 
 
'''Mifumo perepetua ya kimakanika'''
 
Mfano wa kanuni hii unaonekana kwenye bembea kama ile kwenye saa ya ukutani ya kimakanika. Jiwe la kuning'inia linapofika usawa wa juu kabisa; huwa na nishati uweza ya juu kabisa. Halafu Nishati Mwenendo huwa ni sifuri pale linapokuwa limesimama kabla ya kubembea na kuruidi chini. Katika hali ya wima kabisa, nishati uweza huwa ni sifuri na wakati nishati mwenendo huwa juu kabisa. Na hivyo kufanya mabadilishano ya Nishati Uweza na Nishati Mwenendo vinavyohusiana katika mifumo ya kazi za kimakanika.
 
 
 
'''Changamoto ya Nadharia ya Uhifadhi Sawia wa Nishati'''
 
Kanuni hii katika nyanja ya kifizikia imefika njia panda baada ya mifumo mpya wa uzalishaji nishati kugunduliwa.
 
*[[Nishati Nukta Sifuri]]