Kangaruu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
kuswahilisha mwanzo wa makala, masahihisho ya makosa ya kwanza
Mstari 23:
[[Picha:RedRoo.JPG|thumb|Kangaruu dume, Red Kangaroo huko Taronga Western Plains Zoo]]
 
'''Kangaruu''' ni jina la wanyama [[mamalia]] wa spishi mbalimbali walio wenyeji wa [[Australia]]. Wote ni wala majani wanaobeba watoto wao wachanga ndani ya pochi ya ngozi iliyopo nje ya mwili juu ya tumbo wakiwa spishi zinazojulikana zaidi ya wanyama wa ngeli ndogo ya [[marsupialia]]. Familia ya spishi zao huitwa kwa jina la bioloja "Macropodidae" yaani wenye miguu mikubwa (Kigiriki ''makrós'' (kubwa) na ''poús, podós'' (mguu)). Kuna spishi zaidi ya 60 zinazojulikana.
'''Kangaruu''' ni mnyama alie kwenye familia ya Macropodidae. Kwa matumizi ya kawaida msamiati huu hutumika kuelezea spishi hii kutoka kwenye familia kubwa hasa wale wa jenasi ya Macropus, kangaruu mwekundu, kangaruu wa kijivu wa magharibi na kangaruu wa kijivu wa mashariki[http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-MSW3-0]. Kangaruu ni wazawa wa bara la Australia. Jamii nyingine kangaruu wengine wanapatikana pia Australia na New Guinea.
 
'''Kangaruu''' ni mnyama alie kwenye familia ya Macropodidae. Kwa matumizi ya kawaida msamiatineno huuhili hutumika kuelezea spishi hii kutoka kwenye familia kubwa hasa wale wa jenasi ya Macropus, kangaruu mwekundu, kangaruu wa kijivu wa magharibi na kangaruu wa kijivu wa mashariki[http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-MSW3-0]. Kangaruu ni wazawa wa bara la Australia. Jamii nyingine kangaruu wengine wanapatikana pia Australia na New Guinea.
Kangaruu wakubwa wameweza kuishi katika mazingira magumu ya Australia, lakini wale wadogo wengi wapo hatarini. Hawawidwi kwa lolote lakini kangaroo wa mwituni wanawindwa kwa ajili ya nyama, michezo na kulinda malisho ya kondoo na ngombe [http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-1] japo kwa vipingamizi. Uwindaji wa kangaroo una faida kubwa kimazingira na kiafya kwa ngombe na kondoo wanaochungwa kwa ajili ya nyama.[http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-2]
 
Kangaruu wakubwa wamewezawamezoea kuishimabadiliko yaliyosababishwa na kilimo cha kibinadamu katika mazingira magumuyao ya Australia,asilia lakini wale wa spishi za wadogo wengi wapo hatarini. HawawidwiHawafugwi kwa lolote lakini kangaroo wa mwituni wanawindwa kwa ajili ya nyama, michezo na kulinda malisho ya kondoo na ngombe [http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-1] japo kwa vipingamizi. Uwindaji wa kangaroo una faida kubwa kimazingira na kiafya kwa ngombe na kondoo wanaochungwa kwa ajili ya nyama.[http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-2]
 
Kangaroo ni alama ya taifa ya Australia picha yake inatumika katika ngao ya taifa [http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-3], kwenye pesa zake[http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-4] na baadhi ya mashirika makubwa ya Australia.[http://en.wikipedia.org/wiki/Kangaroo#cite_note-5] Kangaroo ni muhimu sana kwa utamaduni na sura ya taifa ya Australia.