Fizikia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 7:
 
 
Tangu zama za nyuma kabisa, [[wanafalsafa ya asili]] walijaribu kueleza mafumbo kama vile mienendo ya sayari na asili ya maada. Na Mlengo huu ulijulikana hapo mwanzo kama ''Fizikisi''(toka''kut.'' tamko la kiingerezaeng., ''Physics'', ikiandikwa Physike kuiga dhana ya Aristotle). Kuibuka kwa Fizikia kama tawi la sayansi lenye kujitegemea toka kwenye shina [[falsafa asilia]], kulitokana na mapinduzi ya kisayansi ya karne ya 16 na 17 na kuendelea mpaka pambazuko la Sayansi ya Kisasa, mnamo mwanzo wa karne ya 20. Nyanja hii imekuwa ikiendelea kutanuka kulingana na kukua kwa tafiti na kupelekea gunduzi mbali mbali kama vile; [[modeli sahili ya chembe za kimsingi]] na uelezi uliotanuka wa historia ya ulimwengu, sambamba na mapinduzi ya tekinolojia mpya kama [[silaha za kinyuklia]] na [[semikonda.]] Leo hii Utafiti unaendelea katika mikondo mipana ya ki mada; kuhusisha [[mpitishoumemkuu]] katika joto la hali ya Juu, [[Ukototiaji wa Kikwantumu]], utafutaji wa [[Higg Boson]], na jitahada za kuendeleza Nadharia ya [[Mtuazi wa Kikwantumu]]. Uliokitwa katika Mitazamo na vitendo, na pia seti zilizojisheheneza kwa nadharia zinazodhihirishwa kwa Hisabati nzuri, Fizikia imefanya mchango mwingi katika sayansi, tekinolojia na falsafa.