Fizikia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 16:
 
 
Fizikia ya kinadharia ina uhusiano wa karibu na hisabati, ambayo huipa lugha ya nadharia za kimaumbile. Aghalabu ni kweli kwamba shauri la kwanza la Nadharia ni kupembua mahusiano katika sura ya ki ulimwengu inayo shahibiana na yatendekayo, kazi ingine ya umuhimu sawa ni kufanyiza kanuni za mahusiano kimahesabu. Matumizi ya hisabati katika nadharia huwakilisha dhana ya kimawazo, katika mchakato wa kuibua mhitimisho muhimu kutoka kwenye hali ya Udhanifu uliopitia sheria rasmi za ukokotoaji. Hata hivyo, nafasi ya hisabati katika nyanja ya Fizikia ya Kinadharia inapelekea kwamba, si tatizo la mwanafizikia ya kinadharia ku chetua hakikakidhibitikidhibitihakikivu cha kihesabu na, kwa kweli kabisa,; mahitaji yaliyokaza sana kwenye hesabu mara nyingi hupingana na kweli za kimaumbile. Mwanafizikia ya Kinadharia maranyingi vile vile huegamia katika ufuatiliaji tathmini wa kinamba na uchocheaji picha wa kompyuta na hivyo kuona matokeo yake; na ndio maana kompyuta na kuprogram kompyuta imekuwa na uwanda mpana wenye sura mbali mbali katika kufanya modeli za kimaumbile. Kwa kweli, nyanja ya Hisabati na Ufuatiliaji tathmini kikompyuta ni uwanja uliochangamka katika utafiti. Fizikia ya kinadharia mara nyingi huhusiana na falsafa na [[metafizikia]] ambapo inaangukia upande wa mawazo ya kufikirika kama vile [[Spesi za vizio wakadhaa]] na [[yunivesi sambamba]].
 
==Nadharia==
[[Image:HAtomOrbitals.png|thumb|right|250px|[[atomu za haidrojeni]] chache za kwanza [[obiti za elektroni]] zilizooneshwa kwa sura ya mkatizo zikiwa zimetiwa rangi alama [[Kimamlima cha uwezekanivu | densiti ya uwezekanivu]]]]
 
Ingawaje mwanafizikia husoma aina mbali mbali za mafumbo ya maisha, kuna baadhi ya nadharia zinatumika kwa wanafizikia wote. Kila moja ya hizi nadharia imejaribiwa kwa idadi ya vitendo na kuhakikishwa makadirio sahihi ya asili iliyopo ndani ya mizingo yenye kukubadilika umakini. Kwa mfano, nadharia ya