Sayansi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
dNo edit summary |
||
Mstari 1:
'''Sayansi'''
'''Sayansi''' ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli zilizo bainishwa pasi kuthibitishwa. ▼
▲
Msingi wa sayansi ni vitendo.▼
==Aina Za Sayansi==
Vitendo vya Kisayansi vina njia zake zinazotumikia kusimamisha kweli ya kisayansi.▼
Namna ya kueleza jambo kisayansi huchimbuka toka Nadharia ama Udhanifu. Halafu tena ili Kweli ikubalike; hutoka kwenye udhanifu; kwa kupitia kupitia majaribio rasmi, hutengeneza dhana kamili ama nadharia kama ni shauri la kueleza mwenendo na tabia.▼
Kwa hivyo, asili ya njia ya kisayansi ni [[mtazamo]] unaokwenda sambamba na vitendo vinavyochunguzwa. Kutoka mitazamo wanasayansi wanaumba [[nadharia]]. Baadaye wanaangalia kama bashiri za nadharia ni kweli. Isipokuwa kweli watakanusha nadharia hii. Ikionekana kwamba mara nyingi sana nadharia ilibashiri ukweli, na haijakosea, itakuwa ni nadharia inayokubalika. ▼
Mara chache, maarifa yatokanayo na sayansi yanaweza kuwa pingifu ya Hali ya kawaida. Kwa mfano nadharia ya [[atomu]] inasema kwamba katika Jiwe ([[Maada Yabisi]]) kuna uvungu ( [[dutu tupu]]), na kwamba atomi zinacheza katika nafasi ndogo katika jiwe ukifananisha na [[maada kimiminika]]. Lakini kwa nadharia hii tunaweza kueleza mambo mengi, hata kwa nini tunaweza kusema kwamba jiwe halina uvungu.▼
Kuna sayansi mbalimbali ambazo huainishwa katika:
Line 37 ⟶ 31:
* [[Unajimu]]
* [[Tiba]]
==Metodi za Kisayansi==
▲Msingi wa sayansi ni vitendo.
▲Vitendo vya Kisayansi vina njia zake zinazotumikia kusimamisha kweli ya kisayansi.
▲Namna ya kueleza jambo kisayansi huchimbuka toka Nadharia ama Udhanifu. Halafu tena ili Kweli ikubalike; hutoka kwenye udhanifu; kwa kupitia kupitia majaribio rasmi, hutengeneza dhana kamili ama nadharia kama ni shauri la kueleza mwenendo na tabia.
▲Kwa hivyo, asili ya njia ya kisayansi ni [[mtazamo]] unaokwenda sambamba na vitendo vinavyochunguzwa. Kutoka mitazamo wanasayansi wanaumba [[nadharia]]. Baadaye wanaangalia kama bashiri za nadharia ni kweli. Isipokuwa kweli watakanusha nadharia hii. Ikionekana kwamba mara nyingi sana nadharia ilibashiri ukweli, na haijakosea, itakuwa ni nadharia inayokubalika.
==Sura ya Kisayansi==
[[Image:Glowing tobacco plant.jpg|thumb|250px|right|Sayansi siku zote hutafuta kuongeza uelewa na , kadri inavyowezekana, uwezekano wa kumudu vipengele maalum vya [[Asili|Ulimwengu wa maumbile]]. Mafanikio yake katika kufikia hapa, hutoka katika shina la moja kwa moja tokea uwezo wake kuweka wazi misingi ya makanika ambayo hali asilia huchakata. Hapa, picha ya [[Mwako wa Bayo]] ''Bosheni'' ambao umekachiwa katika zao la tumbaku kwa kutumia [[Uhandisi ginetiki]].]]
[[Image:Glowing tobacco plant.jpg|thumb|250px|right|Science continually seeks to gain increased understanding and, where appropriate, the possibility for control of many specific aspects of the [[nature|physical world]]. Its successes in achieving this goal stem directly from its ability to elucidate the foundational mechanisms which underlie nature's processes. Here, an image of "artificial" [[bioluminescence]] which has been induced in a tobacco plant by the use of [[genetic engineering]].]]
▲Mara chache, maarifa yatokanayo na sayansi yanaweza kuwa pingifu ya Hali ya kawaida. Kwa mfano nadharia ya [[atomu]] inasema kwamba katika Jiwe ([[Maada Yabisi]]) kuna uvungu ( [[dutu tupu]]), na kwamba atomi zinacheza katika nafasi ndogo katika jiwe ukifananisha na [[maada kimiminika]]. Lakini kwa nadharia hii tunaweza kueleza mambo mengi, hata kwa nini tunaweza kusema kwamba jiwe halina uvungu.
==Historia==
{{mbegu}}
|